SIASA YA KIJAMII NA MANUFAA YA KAMPUNI (Politique Sociale & Avantages)
Manufaa ya Kampuni |
Kuinua viwango vya kimazingira, kiafya, lishe, ki jamii na kiuchumi |
Mazingira (Environmental) |
Kulinda mazingira kwa kuongeza idadi ya miti matunda, kuchangia kusafisha hali ya hewa, (Protection de l’environnement par la mise en place de reboisement en arbres fruitiers, Purifier l’atmosphère) |
Afya na Lishe (Snente/Nutritionnel) |
Kuongeza chakula na ku imarisha afya kwa kuongeza fursa ya matumizi ya vitamine, proteini na madini mwilini (Apport en vitamine, protéine et minéraux)
|
Kiuchumi (Economique) |
Kuongeza kipato cha serekali, kampuni na watu binafsi kwa kufungua fursa za kibiashara ndani na nje ya nchi.
|
Kijamii (Social) |
Kampuni haielengi tu kutengeneza faida, ila pia program zote hizi zinasaidia serekali na mashirika ya kimataifa katika jitihada za kupunguza umasikini, kupunguza njaa na kutengeneza nafasi za kazi, kuinua na kuboresha viwango vya maisha ya watu kiuchumi.
|