Miradi (Projects)

_________________________________

Miradi yote ni ya kibiashara na ya kudumu, itaanza kwa kiasi kidogo na baadaye na itasambaa na kukuwa taratibu maeneo mengine.
Kuchagua miradi iwe aina ya kudumu na ihusike na mahitaji ya matumizi ya kila siku (Parachichi, Machungwa, Maembe, Machenza, unga wa mahindi, Maharagi, Kalanga, Samaki, Kuku, mayayi, Umeme) n.k…
Ili kuongeza uzalishaji pia kampuni itatengeneza program maalum ili kununua mazao ya wakulima wengine.
_________________________________

PARACHICHI NA MATUNDA (MITI)

_________________________________

Lengo letu kubwa ni kufikisha kiwango cha kuanzia miti 8000 za miparachichi hadi Septemba 2025. Juhudi, Ushirikiano na bidii yaitajika ili kufikia malengo haya!
_________________________________

SAMAKI

____________________

Ufugaji wa samaki ndani ya visima au mabwawa asilia ni njia inayozidi kupata umaarufu kwa ajili ya kuzalisha samaki kibiashara. Visima au mabwawa asilia ni maeneo yenye maji ambayo yanaweza kutumika kwa ufugaji wa samaki. Mbali na kupunguza madhara kwa mazingira kuliko ufugaji wa samaki katika mifumo ya maji ya kawaida, ufugaji wa samaki ndani ya visima au mabwawa asilia pia unaweza kufanywa mahali popote, bila kujali uwezekano wa maji.
____________________

1. Kambale

Heka 2

May 2025

2. Makoke (Genge)

Heka 1,5

May 2025

3. Makoke (Genge)

Heka 0,5

April 2025

Jumla ya visima

Heka 4.0



Aina ya Samaki tunaofuga ni Genge (Makoke) na Kambale. Kampuni inatarajia kuvuna mazao ya kwanza Juni 2025. Faida za ufugaji wa samaki ndani ya visima au mabwawa asilia ni pamoja na udhibiti bora wa mazingira ya uzalishaji, uwezo wa kuhifadhi maji bora na kudhibiti ubora wa maji kwa ufanisi zaidi.

____________________

Kusindika Juisi za matunda mbalimbali, parachichi, machungwa, embe, chenza, eneo la kiwanda ni Fizi makao makuu ya kampuni Julai 2030.
____________________

KILIMO

1. Miparachichi (Miti 60,000)

Heka 150 - Kundu

Desemba 2030

2. Machungwa (Miti 20,000)

Heka 50 - Lukunga

Desemba 2030

3. Maembe (Miti 20,000)

Heka 100 - Mahombwa/Likunga

Desemba 2030

4. Machenza (Miti 20,000)

Heka 50 - Lukunga

Desemba 2030

5. Mikaratusi (Miti 100,000)

Heka 250 - Mahombwa

Desemba 2030

6. Mahindi

Heka 50 - Maseko

Feb. 2025

7. Maharage

Heka 10 - Maseko

Feb. 2025

8. Karanga

Heka 10 Maseko

Feb. 2025


Jumla Kilimo

Heka 650

May 2025



MRADI WA KUFUGA KUKU


1. Kuku wa Mayai

Kuku 1000

May 2026

2. Kuku wa Nyama

Kuku 1000


May 2026



Ukihitaji mengi download : Fiche d’information ya kampuni  (PDF)


+++++++++++++++

 

SHUGHULI ZINAZOENDELEA

 

 

 

 

ADDRESS

Drc Congo, Kinshasa

Sud-kivu, Fizi.

Phone: + (243) 912 911 445

Phone: + (243) 994 878 164

Email: info@sofijep.com

Copyright © 2024 Sofijep SARL All right Reserved