Pamoja na kuwa na program nyingi za kilimo cha mda mrefu kama machungwa, chenza na embe lakini kampuni imeifanya parachichi (Avocat) kuwa kilimo chake cha kipau mbele kwa sababu zaidi za kibiashara, ki afya, kimazingira kwa kutengezea juisi na faida zingine ambazo zinaletwa na mmea huu.
PAKUA FORM HAPO CHINI
Ukihitaji mengi download : Fiche d’information ya kampuni (PDF)
+++++++++++++++
PROFILE GENERALE DE LA SOFIJEP