Uongozi kuelewa vizuri sera ya serikali juu ya makampuni ya ndani na kuwa na ushirikiano wa karibu sana kupitia semina na mashirika ya serikali kujadili sera za serikali juu ya athari za kulinda mashirika ya ndani kutatokana na 1) ukarabati wa mindombinu (Umeme, maji, barabara, benki…) na (2) Kuepuka, kulindikia makampuni kodi nyinginyingi au kubwa ivyo kusababisha (au kwa kutokujua, ao kwa tamaa mbaya, rushwa ao siasa mbaya) gharama za uendeshaji wa kampuni kuwa juu na kulazimisha kampuni kupandisha beyi ya bidhaa inayotengenezwa ndani ya nchi kuwa na beyi sawa ao hata kuzidi bidhaa inayotoka nje ya nchi, hali hii inauwa viwanda, makampuni na soko la ndani na kufanya maisha ya wananchi kuwa magaumu na inakiuka malengo ya kampuni na hata serikali yenyewe ya kuboresha maisha ya watu wake.
MIKUTANO YA NA SEMINA NA MASHIRIKA YA KISEREKALI ANGALAU MARA 2 KILA MWAKA
____________________
____________________
Uzalishaji wa baadhi ya bidhaa za miti ya matunda kama Avocat (parachichi), embe, chumngwa, chenza bado ziko kwenye hatua za kupandwa na kukuwa mashambani, mipango mingine ya uzalishaji itajielekeza sana kwa ufugaji wa samaki na mimea chakula kinachostawi kwa muda mfupi kama mahindi, maharagi, kalanga, soya, samaki, kuku, mayayi pamoja na huduma za kama umeme, uchapishaji n.k….
Uwezo wakuridhisha wateja wetu utategemea pia mwitikio wa soko na idadi ya wateja wetu. Tayari kampuni inayo mitambo, mashine za kutosha ili kujibu matokeo mazuri.
____________________