Pamoja na kuwa na program nyingi za kilimo cha mda mrefu kama machungwa, chenza na embe lakini kampuni imeifanya parachichi (Avocat) kuwa kilimo chake cha kipau mbele kwa sababu zaidi za kibiashara, ki afya, kimazingira kwa kutengezea juisi na faida zingine ambazo zinaletwa na mmea huu.
UKIHITAJI MENGI DOWNLOAD
FICHE D’INFORMATION YA KAMPUNI (PDF)
++++++
Kutana na nguvu ya nyuma ya mafanikio yetu
Timu ya SOFIJEP SARL! Kupitia juhudi na weledi wao tunaendelea kuleta
mabadiliko chanya katika uzalishaji wa kilimo na samaki.